Mbao Mmekufa Kiume Kaka Zenu Wametuaibisha!

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Nilishasema kitambo ili soka la nchi hii lifanikiwe inabidi tuwe na mipango thabiti kuelekea mafanikio..basi kati ya moja ya mikakati iwe ni kuzifutilia mbali hizi klabu mbili kubwa kongwe na majina hayo yasitumike kabisa hapa Nchini libaki Neno Simba litumiwe na mnyama halisi wa msituni mwenye jina lake.
Simba na Yanga ni tatizo kubwa katika maendeleo ya soka letu
Mara ya mwisho Michuano hii ilipelekea mshindi timu ya Kenya kucheza na Everton tukajua wangejifunza maana hata wakati ule nakumbuka yanga walionyesha dharau kwa kupeleka wachezaji wengi wa kikosi cha pili,Mara hii tena timu hizi zimeonyesha udhaifu mkubwa!!aibu...aibu..
Sasa kuna haja gani ya kua na timu zilizojaa ushabiki mkubwa kuliko kiwango cha uchezajimiaka nenda rudi?na ndio hizi timu huziaribu klabu ndogo kila zinapotaka kuinuka hapa nchini,Tff hawalioni hili?
Mbao wanastahili pongezi japo wametolewa lakini kiwango walichopambana ni zaidi ya Yanga ambao ni wakongwe mno
Hizi timu ni kama virusi ktk soka letu ziondolewe haraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifo Ni kifo tu. Hawana lolote. ukiwa shabiki wa timu za kibogo unakufa kabla ya siku zako.

Ongelea mkia siyo Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Klabu ya simba ndiyo inayouwa mpira wa nchi hiii, yaani wao ili washinde ni mwendo wa kuhonga marefa, kununua mechi, kuweka madarakani tff viongozi wabovu kama karia, wambura etc kusajili wachezaji talented kisha kuuwa uwezo wao kwa kuwaweka benchi, hivyo sisi ‘wananchi’ tunaiomba serksli yetu sikivu kulifutilia mbali hili genge la wahuni linalijuliksna kwa jina la klabu ya simba for the sake of maendeleo ya mpira wa tanzania!!
 
Back
Top Bottom