ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Nilishasema kitambo ili soka la nchi hii lifanikiwe inabidi tuwe na mipango thabiti kuelekea mafanikio..basi kati ya moja ya mikakati iwe ni kuzifutilia mbali hizi klabu mbili kubwa kongwe na majina hayo yasitumike kabisa hapa Nchini libaki Neno Simba litumiwe na mnyama halisi wa msituni mwenye jina lake.
Simba na Yanga ni tatizo kubwa katika maendeleo ya soka letu
Mara ya mwisho Michuano hii ilipelekea mshindi timu ya Kenya kucheza na Everton tukajua wangejifunza maana hata wakati ule nakumbuka yanga walionyesha dharau kwa kupeleka wachezaji wengi wa kikosi cha pili,Mara hii tena timu hizi zimeonyesha udhaifu mkubwa!!aibu...aibu..
Sasa kuna haja gani ya kua na timu zilizojaa ushabiki mkubwa kuliko kiwango cha uchezajimiaka nenda rudi?na ndio hizi timu huziaribu klabu ndogo kila zinapotaka kuinuka hapa nchini,Tff hawalioni hili?
Mbao wanastahili pongezi japo wametolewa lakini kiwango walichopambana ni zaidi ya Yanga ambao ni wakongwe mno
Hizi timu ni kama virusi ktk soka letu ziondolewe haraka.
Sent using Jamii Forums mobile app