Mbao na nguzo zilizotengenezwa kwa taka za plastiki

Tembele

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Posts
1,152
Reaction score
343
Tunapenda kukufahamisha kuwa tuna MBAO na NGUZO ZA PLASTIKI (zilizotengenezwa kwa mabaki ya plastiki 100%) zilizo katika urefu na saizi tofauti, imara na madhubuti kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa makazi, bustani na Alama za Barabarani, kukutengenezea muonekano mzuri sana.


Mbao na Nguzo hizi za plastiki haziozi, haziliwi na mchwa, ni imara, zinadumu muda mrefu zaidi, na ni rafiki kwa mazingira.


Tafadhali angalia vipepeprushi vilivyoambatanishwa na waweza wasiliana nami kwa maelezo zaidi.

Asante, Tuwasiliane
Afisa masoko,
EcoAct Tanzania
+255757100012 / +255764051418
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…