Zile 10 hazijakuumiza moyo hata kdg!!!?? Mbumbumbu hajui zuri wala baya...Shadeeya mtani where are you?
Pole sana kwa maumivu ya kila leo!
Njoo Simba mtani utulie moyo wako
Ukiendelea kubakia Yanga utakonda bure kwa Stress zisizo za lazima
Ni jambo la kumshukuru Allah kama uko poa.Niko vizuro aisee
Sema Leo unatamba humu
Karibu kesho pale taifa uone Azam akichapika
"Kila mtu ashinde mechi zake"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha. Kama nyie Munavyotupatisha tabu Mukishinda Mtani.
Na moto ndio ushawaka Mtani hakuna wa kuuzima.
Sawa Mtani.Ni Moto wa Mabua tu huo
Akiwa leba anaingiziwa mamikono yote mawili,,,,,ten fingures mammaaaChapa hao mbao.
Walikuwa wanajipenyeza ili waolewe Mara ya pili baada ya kuzamishiwa mamikono mawili wakati wanajifunguaVip huyu jamaa anaekaba hadi kivuli ulihama nae second half mkuu?
Amesahau mamikono kama yoteee aliyoingiziwa.Kuwa serious bhana, kipigo cha mbwa mwizi hukijui kweli? Ngoja nikukumbushe ni zile 10-0 mlizofungwa na Ahy pamoja na bamutu ya Kongo AS Vita [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwani haiwezekani mkatembeza bakuli mkapata pesa mnunue mechi?Sasa pesa tumetoa wapi sisi Omba Omba watembeza bakuli?
Nashauri kabla haijaaanza kucheza iimbe wimbo wa taifa[emoji16][emoji16][emoji16]Yanga sio timu ya Wananchi tena bali timu ya Nchi.
Yanga OyeeeeeeeView attachment 1027496
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nashauri kabla haijaaanza kucheza iimbe wimbo wa taifa[emoji16][emoji16][emoji16]
Naipenda YANGA
Dakika 24 ·
Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia kwa Mratibu wake Hafidh Saleh, umesema umekusanya kiasi cha shilingi milioni 21.377 kutokana na michango mbalimbali ya wanachama na mashabiki wake.
Duh kelele zote ndani ya wiki mbili tunachanga pesa hizo mbona tunamuungusha Kocha na ndoto yake ya kuwa na kikosi bora msimu ujao.
Kwani matokeo yenu mikia na Mbao FC Kirumba yalikuwaje?
Na wale wanaong’oa viti uwanjani unawaweka kundi gani?Hakuna mashabiki wajinga duniani kama wa Yanga
1. Ni jambo la aibu vijana waliokuwa wanazunguka uwanjani na mabendera ya yanga baada ya yanga kusawazisha goli kumzingira, na kuanza kumchania nguo kijana aliyekuwa amevaa nguo nyekundu akiuza maji.
2. Ni jambo la aibu washabiki wa Yanga kuwarushia chupa za maji waamuzi ambao walijitahidi kuwa fair
3. Huu ushabiki wa kijinga sijawahi kuona, hata nchi za ulaya timu ikiwanyumbani lazima wananchi wote wanaishabikia timu ya nyumbani lakini leo nimeshanga unakuta limtu ni la mwanza hapa hapa lakini linajifanya lenyewe ndio yanga mbona kule England timu yao ikiwa nyumbani sijawahi kuona huu ugoro wa kushabikia timu ya nje? mbona kule Hispania, italy na ujerumani sijawahi kuona ujinga kama huu?
Punguzeni sababu Mkuu hakuna hela imepita pale.Kwani haiwezekani mkatembeza bakuli mkapata pesa mnunue mechi?
Kwani mbao wana gharama gani kusema labda utatumia mipesa mingi kama kuwaonga? Wale ni wenzenu tu sema wao hawana mikazo ya kutembeza bakuli hadharani kama nyie
Sent using unknown device