GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,078
- 1,718
- Thread starter
-
- #41
Muda sio mrefu atakimbia Huyo
Timu ya ushindi[emoji28][emoji28][emoji28]Mbao 1 Yanga 2/
Wanapata bao la pili kwa penalt ya Tambwe baada ya mchezaji wa Mbao kuunawa ndani ya eneo la hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila la kheri Mbao!
Beki ya Mbao inatisha
Nawasabah ze tano ze tano ze Congo ze misriSisi 1 - 0 Yanga
Tulisha wachangia MiLion 100 juzi kati nyie omba omba mkoje etMbao 1 Timu ya wananchi 2
Simba ze tano tano michango yenu bado inahitajika katika huu Uzi naona kama mmepunguza speed
hatimaye mwisho wa msimu omba omba wachukua ubingwa wa baraπππ mtateseka sana mwisho wa msimu nyie simba karatasiTulisha wachangi MiLion 100 juzi kati nyie omba omba mkoje et
Heri yetu simba tulimrushia manara na kocha wetu uchebe.Yanga wanamrushia refa chupa za kumwaga. Upuuuzi gani huu
Safi sanaMbao 1 Timu ya wananchi 2
Simba ze tano tano michango yenu bado inahitajika katika huu Uzi naona kama mmepunguza speed
Michango ipi mnayohitaji??...sisi bado tunasherekea kipigo cha mbwa mwizi tulichowapa juziMbao 1 Timu ya wananchi 2
Simba ze tano tano michango yenu bado inahitajika katika huu Uzi naona kama mmepunguza speed