Mbao vs Yanga

Kuwa serious bhana, kipigo cha mbwa mwizi hukijui kweli? Ngoja onikukumbushe ni zile 10-0 mlizofungwa na Ahy pamoja na bamutu ya Kongo AS Vita [emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahaaa. Bora umemwambia kipigo cha Mbwa mwizi kinaanzia 05. 😜😜

Shooga naona ulikuja kwa kuchelewa.
 
Hahahaaaa. Mpambeni tu Babu wenu.
[emoji85][emoji85][emoji1613]️‍[emoji3603][emoji1613]️‍[emoji3603][emoji1613]️‍[emoji3603][emoji1613]️‍[emoji3603][emoji1613]️‍[emoji3603]
Aliwajibu lakini kuwa yeye ni mtu [emoji3447] kuliko ngenga[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa. Nilimsikia japo nikajikuta namuonea huruma tu sababu alikuwa zaidi ya Mpole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…