Wewe hufuatili ndio maana malalamiko ya mashabiki wa Mbao hukuyasikiaInaonekana hata hufatilii soka vizuri bali unadandia dandia tu mambo.
Ndayiragije hakufukuzwa Mbao bali KMC walipanda dau wakamnyakua, akaing'arisha KMC hapo napo Azam wakampandia dau akaondoka!!!
Kwanza nikujuze tu kabla dailagije ajaenda KMC alishakubaliana na Singida United, KMC wakapanda dau kuliko la SingidaInaonekana hata hufatilii soka vizuri bali unadandia dandia tu mambo.
Ndayiragije hakufukuzwa Mbao bali KMC walipanda dau wakamnyakua, akaing'arisha KMC hapo napo Azam wakampandia dau akaondoka!!!
Ndayilagije hajawahi kufukuzwa Mbao,KMC na Azam ,huwa anapata dili kubwa anaondoka.Mbao wanavuna walichokipanda. Walianza kufanya makosa kwa kumfukuza ndailagije aliekua akiijenga timu taratibu wakapata bahati wakampata Amri Saidi akaanza na timu vizuri.
Sijui wakawaza nini wakafanya kosa lingine kwa kumletea Ali Bushiri kocha mzoefu aliemzidi elimu ya ukocha eti awe msaidizi wake, akaona anafukuzwa bila kuambiwa akaondoka. Baada ya Amri Saidi kuondoka tu, akaanza kupokea vichapo mpaka hapa walipofika hawana wa kumlaumu zaidi ya kujilaumu wenyewe.