Mbao ya mkongolosi na mtunduru ipi bora zaidi kwa milango?

Mbao ya mkongolosi na mtunduru ipi bora zaidi kwa milango?

nuruyamnyonge

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
4,408
Reaction score
2,196
Amani iwe kwenu wanazengo.

Naendelea kukamilisha ujenzi niko hatua ya mwisho ya kuweka milango, kila nikizunguka nakutana na mbao Kwa macho ni nzuri lakini hazina majina kama Mkongo, mninga nk. Kwa yeyote mwenye ufahamu mzuri wa ubao mkongolosi na mtunduru naomba atupe faidi upi ni mzuri na Kwa sababu gani.

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Juz nilimpelekea kak angu milango 26 za mbao za mkongo Nia Kali hatari ngoja nikutumia na kapicha mkuu

Je uko wapi nikutafutie milango hiyo kwa laki nne tu kwa kila mmoja nicheki pm mkuu ninaweza kukupa hizo milango kwa Bei POA kbsaView attachment 2309256View attachment 2309257View attachment 2309258View attachment 2309259
IMG_20220704_155112_8.jpg
 
Nina milango (TOP) nane ya mti wa mnazi, kila mmoja ni 300,000 Tsh...mazungumzo yapo.

Unahitaji kupiga polishi then u good to go!

0685 555211 kwa info zaidi.

Karibuni!

IMG_20220608_143307.jpg
IMG-20220608-WA0012.jpg
IMG-20220608-WA0014.jpg
IMG-20220608-WA0014.jpg
IMG-20220608-WA0015.jpg
 
Huo ni mkaratusi,( Eucalyptus). Fundi akijua kuchagua mbao, mbao zikakauka

Hutojuta.

Ila zikiwa mbichi haufai hata bule

Hapo unaona tofauti lakini aina ya mti ni moja. Tofauti ni uchaguzi.
IMG_20220715_154525_549.jpg
IMG_20220715_154247_709.jpg
 
Sifanyi biashara ya milango ,hii tisa ilibaki kwenye umaliziaji wa lodge tulibadili mawazo bafuni tukaweka ya aluminum .Iko Singida ila nillitoa Ifakara
Hata mm ilikuwa ya lodge ndio nimepeleka embu nioneshe picha yako ya baabda ya kufunga milango

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom