nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,408
- 2,196
Naukubali Sana Mkongo, bei yake huku wanauza 300,000/= natafuta wa 250,000/=Juz nilimpelekea kak angu milango 26 za mbao za mkongo Nia Kali hatari ngoja nikutumia na kapicha mkuu
Je uko wapi nikutafutie milango hiyo kwa laki nne tu kwa kila mmoja nicheki pm mkuu ninaweza kukupa hizo milango kwa Bei POA kbsaView attachment 2309256View attachment 2309257View attachment 2309258View attachment 2309259View attachment 2309260
Mkongo ni hakika,unapendezaJuz nilimpelekea kak angu milango 26 za mbao za mkongo Nia Kali hatari ngoja nikutumia na kapicha mkuu
Je uko wapi nikutafutie milango hiyo kwa laki nne tu kwa kila mmoja nicheki pm mkuu ninaweza kukupa hizo milango kwa Bei POA kbsaView attachment 2309256View attachment 2309257View attachment 2309258View attachment 2309259View attachment 2309260
Unapatikana wapi wewe?Mkongo umenyooka sana,ninazo top 9 anayehitaji @250,000\=View attachment 2313730View attachment 2313729
Mkongo ni wa ukweli sana, ebu nipe location ofisi iko wapi?Mkongo umenyooka sana,ninazo top 9 anayehitaji @250,000\=View attachment 2313730View attachment 2313729
Sifanyi biashara ya milango ,hii tisa ilibaki kwenye umaliziaji wa lodge tulibadili mawazo bafuni tukaweka ya aluminum .Iko Singida ila nillitoa IfakaraMkongo ni wa ukweli sana, ebu nipe location ofisi iko wapi?
Iko Singida mkuu,ilitoka IfakaraUnapatikana wapi wewe?
Hata mm ilikuwa ya lodge ndio nimepeleka embu nioneshe picha yako ya baabda ya kufunga milangoSifanyi biashara ya milango ,hii tisa ilibaki kwenye umaliziaji wa lodge tulibadili mawazo bafuni tukaweka ya aluminum .Iko Singida ila nillitoa Ifakara