Gazillionaire
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 235
- 59
Zina urefu gani.?na mnazi wenyewe umekomaa?Kwa alie na uhitaji wa mbao za mnazi za size mbalimbali kama:
2x2= sh.3000
2x4= sh.6000
2x8=sh. 10,000
Ziko Kigamboni Tungi, mwenye kuhitaji karibu PM.
Zinatumika kama mbao za kawaida ila zinafaa zaidi kwa fenicha za nakshi, milango ya mapambo na zina sifa ya kuwa imara kuliko mbao za kawaida. Kama ukitembelea Bagamoyo au Zanzibar, utaona kuna baadhi ya majengo yana milango ya mbao za mnazi yenye miaka zaidi ya 100.zinatumika kwa kazi gani?
Zinatumika kama mbao za kawaida ila zinafaa zaidi kwa fenicha za nakshi, milango ya mapambo na zina sifa ya kuwa imara kuliko mbao za kawaida. Kama ukitembelea Bagamoyo au Zanzibar, utaona kuna baadhi ya majengo yana milango ya mbao za mnazi yenye miaka zaidi ya 100.