casanova69
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 2,361
- 2,166
goli la pili alipiga chenga timu nzima hili halitasahaulika.uko sahihi lakini akifananishwa na pele kuna vitu anazidiwa.hiyo mechi kulikuwa na tukio moja tu ??
mbona mashabiki mnakuwa watu wa hovyo hovyo...!
huyo pele ni mchezaji wa youtube tugoli la pili alipiga chenga timu nzima hili halitasahaulika.uko sahihi lakini akifananishwa na pele kuna vitu anazidiwa.
hahaa kama umeziona kuna ile anapiga kanzu msururu wa mabeki hadi kipa.huyo pele ni mchezaji wa youtube tu
hahaa alionekana russia amejaa vipuri kama koffi olomideUnamzungumzia CHIDI BENZ?
afu watu wanatutisha na ujinga wa dinho sijui messi....Video zote tunazoona sasa ni 30% tu ya matukio aliyofanya uwanjani 70% yote iliyobaki hatujaona yale aliyotenda uwanjani.. Kwa uchache tu kibabu pele alikuwa bonge la player, km angezaliwa zama hizi ingekuwa hatari.
Aaah mkuu unamshusha hadhi mfalme wa soka.... 1962 alicheza mechi za group stage na akafunga goli mechi ya mexico hivyo ana medali 3 za dhahabu za world cup sio 2 kama ulivyoandika.Wengi wa waafrika wa jf wanamfagilia pele eti kwa sababu tu ya uafrika wake. lakini kiuhalisia ameachwa mbali sana na Diego Maradona. kitu ambacho pele amemzidi diego ni magoli mengi and makombe.pele ana mawili 1954 and 1970. na mwaka 1962 hakucheza alikuwa injured. diego ana moja na magoli yake yameenda chuo,,sio kama ya babu yenu ya kuoteaotea...