Mbaraka Mwinshehe na kibao cha Mtaa Wa Saba ni kweli kuhusu wewe na nyota yako katika ulimwengu

Mbaraka Mwinshehe na kibao cha Mtaa Wa Saba ni kweli kuhusu wewe na nyota yako katika ulimwengu

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Wanasema msiba mzuri ukiwa kwa jirani yako sababu ujavaa viatu vyake.

Mbaraka Mwinshehe :Mtaa Wa Saba.

Katika wimbo wake huu alizungumzia kuhusu mikosi na nehema alizofanya kuhama.

Tunapo sema ulimwengu wa roho kuna nyumba,eneo,mkoa,kazi,rafiki au mahusiano yanaweza kuwa mtaa wa saba.

Mfano ukashangaa mtu kakomaa dar es salaam kumbe sio ulimwengu wake kwenda mkoa mwengine mambo yake yakabadilika.

Jengine tumejionea nyumba za kupanga,mapenzi,kazi na marafiki ambao wanaweza kugeuka mtaa wasaba.
 
Back
Top Bottom