baba aura
JF-Expert Member
- Aug 5, 2023
- 254
- 393
Habari wa kuu, kijana moja anaefahamika kwa jina la meshaki mkazi wa kitongoji cha makondo "A" amechomwa na kisu sehemu kadhaa za mwili na aliyetendanda unyama huu ni jirani take, suala hill limeonekana kufumbiwa nacho na viongozi mtaa pamoja na afisa inasadikika kuwa mtuhumiwa ametoa rushwa ili asifikishwe kwenye vyombo vya sheria na Luna baadhi ya watu wamepewa pesa ili wanyamaze
Naomba mkuu wa kituo cha polisi rujewa afuatilie tukio hill maana ni la kikatili sana
tukio hili limetokea wilayani mbarali kata ya mawindi kijiji cha manienga katika kitongoji cha makondo A
Mode naomba Uzi huu ufikishwe panapo hitajika
*Ofisi ya mkuu wa wilaya mbarali
* Mkuu wa kituo cha polisi kata ya rujewa