Mbaroni kwa kutaka kumtorosha mtoto wake hospitali baada ya kushindwa kulipa bili

Display Name

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
423
Reaction score
451
Mwanaume mmoka amekutwa na hatia ya kutaka kumtorosha mtoto wake kwa kutomia begi baada ha kushindwa kulipa bill hospitalini.

Bonface Murage Wangechi(22) alisomewa mashitaka hayo tarehe 16 Feb 2019 ya kutaka kumtorosha mtoto wake aliyekuwa amelazwa kwa muda wa mwezi mmoja kwenye Hospitali ya Taifa ya Kenya(KNH) baada ya kushindwa kulipa bili ya Ksh 56,937.

Mwanaume huyo aligunduliwa mpango wake na walinzi wa hospital hiyo na walimwambia afungue mfuko wake wenye rangi ya blue na ndipo walipomkuta mtoto ndani.

Mwanaume huyo alikiri mahakamani kufanya jambo hilo baada ya kuona atashindwa kulipa deni hilo la gharama za matibabu na kuhofia kwamba mkewe na mtoto wao wangebaki hospitali.

Hatma ya kesi hii itajulika leo tar 19 Feb 2019.
---------------------------------------
A man was on Monday arraigned at Milimani Law Courts and charged with attempting to smuggle his daughter out of the Kenyatta National Hospital (KNH) using a carrier bag.

Bonface Murage Wangechi was charged that on February 16, 2019, he attempted to escape with the baby in an attempt to defraud the hospital a sum of Ksh.56, 937 incurred by the baby who was admitted at the facility.

According to court documents, Mr. Murage was intercepted by the hospital security guards while leaving the facility carrying something in a blue carrier bag. The guards then forcefully opened the bag and discovered that he was carrying a baby.

Further investigations then revealed that the baby was a patient at the hospital and that the accused was escaping with her to avoid paying the bill accrued during the one-month admission period.

Appearing before Resident Magistrate Muthoni Nzibe, the 22-year-old man – who is the baby’s father – pleaded guilty to the charge saying he was indeed escaping with the baby because he did not have money to settle the bill.

He also stated that he feared that his wife and child would remain in the facility forever if he did not act creatively. According to him, the baby and her mother are still being held at the facility following his botched escape plan.

The accused was remanded until Tuesday February 19, 2019, when facts of the case will be read in court before the magistrate passes a sentence.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bima ya afya muhimu, waTZ tuzingatieni mashauri ya serikali pamoja na yote!!! hili ni jema jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…