Mbasha aache kutumia Propaganda za Gwajima kuseek Public Sympathy kwa tuhuma zinazomkabili

Mbasha aache kutumia Propaganda za Gwajima kuseek Public Sympathy kwa tuhuma zinazomkabili

Master Legendary

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
576
Reaction score
876
WanaJF ninakerwa sana na Propaganda zinazoendelea zikihusisha baadhi ya watu,mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kuwa Gwajima anataka kumfunga Mbasha kwa ajili ya Flora,Haiingii akilini kwa mtu wa kawaida huyo Flora katengenezwa na Gold au?Huyo Mbasha kama ni kweli hakuyatenda hayo hofu ya nini kiasi hicho mpaka kusambaza propaganda kabla ya hukumu?Awe na Confidence kama hajayafanya na aende huko Polisi ajenge hoja zinazoshawishi kujitoa katika tuhuma zinazomkabili sio kila siku Gwajima!Gwajima!Kama kabaka kweli aongee na aliowabaka wamsaidie sio kumtajataja tu Gwajima atafungwa kweli!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Umeongea point sana, yeye ajibu hoja, alibaka au hakubaka? Na najua kama anafikiri amesalimika kwa kutunga story atajuta
 
Last edited by a moderator:
kama kweli flora ameokoka, anauaibisha uokovu wake . haijarisha mbasha amemtenda ubaya kiasi ngani hakupaswa kufanya anayoyafanya kama kweli ameokoka , na si haki kusema mbasha alikuwa anamtegemea flora bali mbasha ndiye aliyemtoa flora na kumfanyia connection mpaka flora akafika hapo hivyo hizo mali wamechuma wote.
 
Huyu Emmanuel mbasha alimuoa akiwa na miaka 22, je flora alikuwa na miaka mingapi kipindi hicho. Mmmmmh inaonekana basi flora alikuwa mtoto sana na labda anajutia maamuzi yake ya kipindi hicho. Nafikiri watu tunachukulia hii ishu juu juu tu, lakini inawezekana matatizo yameanzia mbali sana miaka na miaka. Kwa jinsi Flora anavyofanya hii kitu ni ya miaka mingi sana. Ila i wish niujue kwanza umri wa flora ili nijue aliolewa akiwa na miaka mingapi.

By the way kuna ulokole wa kurithi kwa wazazi baba na mama na pia kuna ulokole wa kurithi kwa YESU KRISTO MNAZARETI, hapa tatizo kubwa ni ulokole wa kurithi kwa baba na mama ndio tatizo kubwa walilonalo hawa wapendwa.
Hapa Ulokole haupo tena imebakia kuishi kwa Mazoea tu ,Gwajima anajilia vyake baada ya kuvuruga ndoa sasa anapanga mbinu Mbasha afungwe ili Frola akaombe Talaka kule kule Gerezani kisha wale Raha kwa kwenda mbele, huu ni aina ya Uzinzi wa ajabu ! Frola kwa akili yake anadhani ka-win ,kumbe hajui Kuwa anambeep Mungu na ajue Majibu ya Mungu yatakuja kimiujiza .
 
Hili jamaa nalemyewe halina akili,toka lin mwanaume ukawa mtu wa kilia kila hvo kwenye media, ndo maaanaa anagongewa


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨

Ni kweli Mwanaume wa Ukweli Mwanamke akisepa unasaka mwingine maisha yanaendelea lakini cha Ajabu huyu Mbasha Kang'ang'ania Mke nampenda mke nampenda why? Mke kakubambikia Kesi,mke kaiba vyombo vya ndani vyote kasema,mke hajaja kukuona Gerezani, Mke kakudharau ! Eti bado Mbasha kakomalia anampenda Frola ! Hivi kweli frola akiludi kutakuwa na Mapenzi ya kweli?
 
ataleta visingizio ving tu ila ajibu tuhuma za kubaka

Nani kakuambia Mbasha alibaka ? Tambua Frola kamtengenezea Kesi ili afungwe jela Miaka kibao Kama akina Babu Seya kisha Frola apate mda wa kujilusha na wengine Maana Mbasha alikuwa akimbana mpaka akawa Hana njia za kuchepuka kabsa, mbasha ujue Michepuko ndio inasababisha ufungwe sasa.
 
Kamtoa Flora kivipi? ye amfanyie mwanamke connection halafu yeye abaki kuwa marioo!!! kwanini hakujifanyia yeye kama ana akili? Yeye alifanya makosa kukaa bila kufanya kazi na kumtegemea mwanamke. Wanawake wenyewe siku hizi hawataki kuwa kula kulala sembuse mwanaume ndio matokeo yake hayo mwanamke anakuaibisha atakavyo maana mwanamke akikuchoka utalijua jiji.

Dah nimekupenda ulivoshuka na points zenye akili kwenye huu uzi wote! Big up big up!
 
Sa kama uzembe wa mke mbasha anahaha kumlamba miguu flora ya nini?si aendelee tuu kutunisha kifua kama dume kweli analialia kwwnye media nini?

Exactly! yaani dume zima lenye two balls liko kwenye media daily linaropokwa!
Mke mzinzi, hafai, kakutengenezea kesi, ana tabia chafu kama mama yake na mambo mengi anayoropoka, halafu bado linasema mke wangu rudi nakupenda!!!! Hivi ni njaa ni ulemavu wa akili au kitu gani hapo!
 
Kwan mbasha jaman anafanyia kampuni gani?? yani wanaume ma handsome wanapenda umarioo kiama, ndo atafute jimama lingine la kumlea

Nani atabeba chizi yule? Mijimama inapenda vijana wenye staha zao! Sio viropokaji kama huyu jinga! Kaniuzi ningekua dadaake ningemnasa kibao aamke!
 
Back
Top Bottom