Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 576
- 876
Kwa wale waliozia kuhusu picha za mama wema, nitai post soon kwenye thread mpya, so kama atakayewah kui copy na kuiona ndo itakuwa hivyo, kuhusu dhambi nadhani atapata yule aliyeitengeneza na kuisambaza, mimi ni wakala tu wa tigo pesa
Heaven on Earth, princess sayuni, Dinazarde, geniveros, snipa, zavi, leme, mamakibunju, honeyfaith, lusungo, qn of sheba, @
Umeona mambo binamu?? Nsha post uzi mpya kajionee mautamu
hao ndo walikua wanatetea wasikilize hyo ypu tube
uwoooo jamani wanawake sisi loooh
Hapa Ulokole haupo tena imebakia kuishi kwa Mazoea tu ,Gwajima anajilia vyake baada ya kuvuruga ndoa sasa anapanga mbinu Mbasha afungwe ili Frola akaombe Talaka kule kule Gerezani kisha wale Raha kwa kwenda mbele, huu ni aina ya Uzinzi wa ajabu ! Frola kwa akili yake anadhani ka-win ,kumbe hajui Kuwa anambeep Mungu na ajue Majibu ya Mungu yatakuja kimiujiza .Huyu Emmanuel mbasha alimuoa akiwa na miaka 22, je flora alikuwa na miaka mingapi kipindi hicho. Mmmmmh inaonekana basi flora alikuwa mtoto sana na labda anajutia maamuzi yake ya kipindi hicho. Nafikiri watu tunachukulia hii ishu juu juu tu, lakini inawezekana matatizo yameanzia mbali sana miaka na miaka. Kwa jinsi Flora anavyofanya hii kitu ni ya miaka mingi sana. Ila i wish niujue kwanza umri wa flora ili nijue aliolewa akiwa na miaka mingapi.
By the way kuna ulokole wa kurithi kwa wazazi baba na mama na pia kuna ulokole wa kurithi kwa YESU KRISTO MNAZARETI, hapa tatizo kubwa ni ulokole wa kurithi kwa baba na mama ndio tatizo kubwa walilonalo hawa wapendwa.
Hili jamaa nalemyewe halina akili,toka lin mwanaume ukawa mtu wa kilia kila hvo kwenye media, ndo maaanaa anagongewa
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
Dah huyo flora mbasha kawazidi..mbona anaroho mbaya sana..shida ni nini..
Dah huyo flora mbasha kawazidi..mbona anaroho mbaya sana..shida ni nini..
ataleta visingizio ving tu ila ajibu tuhuma za kubaka
Usiombe yakukute yanayomkuta Emma
'When a woman is fed uuup, there's nothin u can do bout it'...in R.Kelly voice
Kamtoa Flora kivipi? ye amfanyie mwanamke connection halafu yeye abaki kuwa marioo!!! kwanini hakujifanyia yeye kama ana akili? Yeye alifanya makosa kukaa bila kufanya kazi na kumtegemea mwanamke. Wanawake wenyewe siku hizi hawataki kuwa kula kulala sembuse mwanaume ndio matokeo yake hayo mwanamke anakuaibisha atakavyo maana mwanamke akikuchoka utalijua jiji.
Sa kama uzembe wa mke mbasha anahaha kumlamba miguu flora ya nini?si aendelee tuu kutunisha kifua kama dume kweli analialia kwwnye media nini?
Kwan mbasha jaman anafanyia kampuni gani?? yani wanaume ma handsome wanapenda umarioo kiama, ndo atafute jimama lingine la kumlea