Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.
The bold kaka bado tunasubiria kwa hamu hizo nondo kaka maana hili movie 😛opcorn:.....
 
Wale wa Mbeya 2kutane City Pub Maana nimesubiria had njaa inaanza nifanya vibaya,,, Najua mpaka nirudi kutakuwa na page km nne za kusoma
 
masai dada plz mwaga detail za mzee wa upako tafadhali, maana huyu jamaa nipo nae mtaa mmoja. fanya hivyo mchepuko wangu

ngoja tumalize hili sakata la mbasha

ila unaijua hotel moja ipo nyima ya ubungo plaza ina taa taa nyingi za rangi nyakati za usiku in usawa kama wa gorofa 4 kama sikose hivi ipo mbali kidogo na ubungo plaza ila iko nyuma yake

nenda hapo muulizie mdada resepshenist ana mahips na kalio kama masogange
uimpata mpe biz card mpe dola 50 ya vocha then mwambie next wikend muonane
alafu muulize kuhusu huyo mzeee

niliondoka kitambo huko sidhan kama walienda sana kiasi cha kumuamisha pale naamini yupo kama hayupo utampata wa kukuambia yupo

usiitaje hiyo hotel JINA LAKE HAPA
 
Last edited by a moderator:
Mkuu The bold,,,

Kadri unavyochelewa kurudi ndio watu tunaendelea kukandamiza Serengeti lager, noma ni pale unarudi wakati tumeishalewa!! Au misukule ya mzee wa Hammer imekupiga "access denied"
 

Kama anayeongea ni yeye basi amekuwa makini sana na hakuna mahali amekiri kubaka, na hata alipojaribu kuulizwa kwa nini hukwenda nje....amekwepa kufanya huo mjadala.

Kwa maelezo ya mleta uzi, mazingira yanaonyesha huu ni mpango mahsusi wa kumshughulikia jamaa.....nadhani cha kufanyika hapa ni kutafuta uhakiki kama kweli binti alibakwa au la.....na je binti yupo under age ? otherwise ishu imekaa KImatatizo ya kifamilia zaidi....unless ithibitike kuwa kweli amebaka na hawakuwa wamekubaliana.
 
Mkuu The bold,,,

Kadri unavyochelewa kurudi ndio watu tunaendelea kukandamiza Serengeti lager, noma ni pale unarudi wakati tumeishalewa!! Au misukule ya mzee wa Hammer imekupiga "access denied"

Mkuu mimi hapa namsubiria the Bold ,nipo nazidinya tu hapa castle milk stout kwa ajili yake.Hawa walokole mchwara wameaibisha dini yangu.
 
Mkuu The bold,,,

Kadri unavyochelewa kurudi ndio watu tunaendelea kukandamiza Serengeti lager, noma ni pale unarudi wakati tumeishalewa!! Au misukule ya mzee wa Hammer imekupiga "access denied"
The bold unatuu kwa Kiu ya umbea huku
 
Last edited by a moderator:
Duuuuuuuuu wife mbona hujaniita kuwa kuna majanga hukuuuuu......... cc masai dada!!!!
 
Last edited by a moderator:
Thebold njoo mkuu,,nimeokoka ila habari za mitume zinanifikirisha sana aseeee,,khaa!!! Afu nna maswali mengi mno nadhan itabid nianzishe uzi wa maswali tu kuhusu Hawa mitume,, kuna mahali nimesoma mtu mmoja anasema Yesu aje haraka aumbue watu, kwa mbaaaali naona kuna ka ukweli ati.


Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 

Khaaaa we mmsai wewe.....
 
wakuuu nuna wasiwasi na alipo The bold
kama kuna mtu ana namba zake embu ana namb zake embu ajaribu kumcheki
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…