Mbasha apozwa na shabiki wake huko Instagram, adaiwa kumpa mimba

Mbasha apozwa na shabiki wake huko Instagram, adaiwa kumpa mimba

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Emmanuel Mbasha.jpg
Msanii wa nyimbo za Injili nchini, Emmanuel Mbasha amesema amesikitishwa na taarifa alizozipata kuwa amempa ujauzito msichana anayevuma kwenye mitandao ya kijamii Agness na kudai hana mahusiano yeyote na mtu huyo zaidi ya kumfahamu kupitia mitandaoni

Mbasha amebainisha hayo kupitia kipindi cha eNewz kinachorushwa na tinga namba moja kwa vijana baada ya kuwepo na tetesi za muda mrefu zinazozidi kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii zikiwa zinadai kuwa wawili hao wana mahusiano ya kimapenzi na mpaka kufikia hatua ya kukubalia kupeana ujauzito.

"Agness mimi namfahamu kama shabiki yangu kupitia mitandao ya kijamii. Sasa sielewi mambo yamegeuka vipi mpaka kufikia hatua ya kuambiwa mimi nina mahusiano naye. Sijawahi kuwa na mahusiano na Agness na wala sijawahi kuwa na chochote kile kinachoashiria mapenzi", amesema Mbasha.

Pamoja na hayo, Mbasa ameendelea kwa kusema "sitegemei kupata naye mtoto kama watu wanavyosema kwa kuwa sina mahusiano nae kwa vyovyote vile huyo msichana ni shabiki wangu tu".

Mtazame hapa chini Mbasha akifunguka zaidi kuhusu Agness.

 
Hata Diamond akiikataa mimba ya Mobetto na akashauri kabisa mwenye mimba yake ajitokeze....
 
Demu anataka umaaruf kupitia jamaa.ingawa jamaa inaweza kuwa kashapita.jamaa naona blingbling kwa sanaa hayo ndo mambo wanawake wanashobokea
 
Falii ipupa wa bongo hahahah
 
Back
Top Bottom