Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Mtumishi wa mungu sijui mungu gani anajua yeye ,,
kajua kunivunja mbavu aisee kampa huyu mwanamke kichambo cha haja cha kistaarabu nimecheka sana ila watu wengi kwenye kuzingatia kuandika ni shida eti Kabra ,,herufi kubwa zinachanganywa lo ,eti kama roboti jamanii
nao wakome lo,,kweli kabisa huyu dada badala afanye mazoezi hata kiuno kionekane ye anahangaika mtandaoni,,jamani unene mbaya
Evelyn Salt Mzigua90 espy njoon mcheke