Basi nae kaweka pozi kaweka na mkono kiunoni hahaha
Duu yaani mdada kama huyo bado ana mambo ya kutukana Mitandaoni?Mtumishi wa mungu sijui mungu gani anajua yeye ,,
kajua kunivunja mbavu aisee kampa huyu mwanamke kichambo cha haja cha kistaarabu nimecheka sana ila watu wengi kwenye kuzingatia kuandika ni shida eti Kabra ,,herufi kubwa zinachanganywa lo ,eti kama roboti jamanii View attachment 670817 nao wakome lo,,kweli kabisa huyu dada badala afanye mazoezi hata kiuno kionekane ye anahangaika mtandaoni,,jamani unene mbaya
Evelyn Salt Mzigua90 espy njoon mcheke
Ukiona mtu yupo hivyo jua ana pesa mingii sana za msosi😀Tumbo na kiuno vipo kwenye same level