Mbasha katoa kichambo

Uyu c alikua juzi juzi anamwimbia saab Godi asee laifu goz Vere fasti.....
 
aiseeee noma sana kweli mwili haujengwi kwa tofali......
 
Huyu mdada kwa umbo lake kitaalam anaitwa "Symphyta" yaani ni kama Sawflies
 
Hasira za kuchambwa na Mange huyo Mbasha hadi akazima comments
 
Huyu dada kampa kiki sana jamaa nilikuwa nishamsahau Mbasha
 
Wamezidi kakaa kimya sana wamemuona fala,acha awajibu
 
Aisee watu wanene tuna kazi

Dada njoo tufanye mazoezi mie ndo nimeanza walau nipunguze tumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…