Mbasha: Mimi na Flora ndiyo basi tena

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
20,834
Reaction score
26,217
Aliyekuwa mume wa mwanamuziki wa Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha ameapa kwa kulamba kidole, kukichovya kwenye mchanga kisha kukipitisha shingoni kuwa, hana mpango wa kurudiana na mkewe huyo katika maisha yake.


Chanzo: Global Publisher Limited
 
Anaona taratibu anasahaulika..anaboost tena
 
Hao nao hawachoki na visa vyao!
 
anajua atashinda kesi...dokta alitoa ushahidi kwamba aliyebakwa alijitembeza weeee kwa siku kadhaa..kuja kupima hamna kitu,flora alijaribiwa na shetani akaingia kingi kwa kusema mumewe kabaka,akajua atafungwa
 
Waachie wenyewe Mkuu,mpango wa mwaka huu ni uchaguzi Mkuu October
 
Nyuzi nyingine bwana, mpaka basi. Haya wakianza kugegedana mtuletee Uzi pia. Mara Shilole na "Kindergarten" wake mara hukuuuu "wazeee wa vinubi na vinanda". Akili nachoka kabisaa
 
Mchungaji malimao toka ampigie debe mmasai arusha sijamsikia
 
Nyuzi nyingine bwana, mpaka basi. Haya wakianza kugegedana mtuletee Uzi pia. Mara Shilole na "Kindergarten" wake mara hukuuuu "wazeee wa vinubi na vinanda". Akili nachoka kabisaa

HahahahaaaAaa mkuu umeua ati wazee wa ninii?
 
wagombanao ndio wapatanao,kama kunammoja wao kapigwa kwa knockout,tuwaachie ulingo wao,alieweka thread wawezakuwa mwamuzi..?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…