Mbasha ndani ya clouds FM right now

mtvbase

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2014
Posts
1,243
Reaction score
561
Mbasha ametoa album yake mwenyewe ya kwanza bila Flora Mbasha.
 
Apige kazi atafute hela,,papuchi hiyo awaachie wengine!
 
Huyo Jamaa Kama Kama anapata publicity ya kijinga....anajaribu kujiweka innocent
 
Kila la heri katika harakati hizi, hope Mungu atamfanyia wepesi na atafanikiwa pia.
 
Mungu atakupa mwenye kheir na wewe..............
 
hyo album ni ya nyimbo za gospel au bongo flavour mbona binadam tunamtania Mungu kiasi hki.
 
lazima niinunue...kuna kipindi nilipitia msoto sababu ya mal.ya...nikionaga mwana anapitia issue kama hizi waga nakumbuka mbali sana...da!
 
Huyo Mariooo hata kuimba anajua bas?? Au kina Ruge washaona fursa
 
Huyo Mariooo hata kuimba anajua bas?? Au kina Ruge washaona fursa

Msiwapondee MARIOO sababu maisha hayana Fomla...cdhani km.alipokuwa shule aliwekeza Akili kutunzwa na Mwanamke so Ujinga niile mtu kujisahau lkn kwa mtu anaejitambua uMARIOO ni daraja km madaraja mengine yakumvusha mtu kutimiza ndoto zake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…