Mwenyekiti wa Nccr MAgeuzi mbatia james ametangaza kuipeleka chadema mahakamani kama hawatamlipa bilion moja na kukilipa nccr bilion tatu,kwa kuwadhalilisha jana pale kawe.mbatia ameongeza kuwa atawashtaki tamwa kama hawatampa bilioni moja kwa kumsingizia kuwa anadhalilisha wanawake.du mambo ya fidia bilioni tano hizo!jamesiiiiì.
Siye huyu aliyekihujumu CUF mwaka 2004 alipowekea pingamizi wagombea wao wa ubunge kule Pemba katika chaguzi za marudio (baada ya muafaka) ambako CUF haikupata viti? Atakataa siyo kibaraka wa CCM? Mbona CCM wenyewe wasiweke pingamizi?