Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ukiambiwa Mutungi ana kadi ya ccm utajisikiaje ?CCM na Msajili wa Vyama ebu heshimuni Demokrasia ili tukosoane, tuijenge Tanzania.
Dasa hutaki maneno ya Mbatia?Mbatia si Bavicha mliapa kumlinda pale Ilala?
Hizi stori za kutunga bana
Soma uzi vizuri , kila kitu kimeandikwaChadema bhana, Kwahy mmegongelea msumari kwamba CCM wamehusika kuondolewa kwa Mbatia huko mageuzini ila kuhusu chadema hiyo haieleweki kama wanahusika au vp.? Yn ni ili mradi tuu muipe CCM sifa mbaya.
Hao siku wakianza kuiheshimu demokrasia huenda hiyo ikawa siku ya kiama🥱CCM na Msajili wa Vyama ebu heshimuni Demokrasia ili tukosoane, tuijenge Tanzania.
Amesahau kutupia lawama ile tume yetu ya uchaguzi.Ni moja ya tume ya ovyo sanaJames Mbatia , kiongozi aliyetimuliwa kwenye chama cha NCCR MAGEUZI hivi karibuni , ameitupia lawama serikali ya Tanzania na chama cha Mapinduzi kwa kuratibu mchakato wa kung'olewa kwake.
Katika hali ya Kushangaza Ndugu Mbatia ameishutumu pia CHADEMA kuhusika na kung'olewa kwake , japo haieleweki chadema imeingiaje , lakini kuna uvumi kwamba Aliyeongoza mapinduzi hayo , anayeitwa Joseph Selasini ni Mwanachama wa Chadema , ajabu ni kwamba Joseph Selasini aligombea ubunge Jimbo la Rombo na kupitishwa na Tume ya uchaguzi kwa tiketi ya NCCR MAGEUZI .
Chanzo : Tanzania Daima
Mytake : USALITI NI LAANA
Tume JechaMafweza🏃🏃Amesahau kutupia lawama ile tume yetu ya uchaguzi.Ni moja ya tume ya ovyo sans
Unaripoti alichosema mbatia au unatoa maoni yako? Kama mbatia ameishutumu chadema just say it loud and clear, usiifanye kuwa kama maoni yako. Shutuma kwa ccm unaripoti kama shutuma, shutuma kwa chadema unatoa kama maoni yako, uandishi gani huo?Katika hali ya Kushangaza Ndugu Mbatia ameishutumu pia CHADEMA kuhusika na kung'olewa kwake, japo haieleweki chadema imeingiaje, lakini kuna uvumi kwamba Aliyeongoza mapinduzi hayo, anayeitwa Joseph Selasini ni Mwanachama wa Chadema
Aingie ACT au CCMJames Mbatia, kiongozi aliyetimuliwa kwenye chama cha NCCR MAGEUZI hivi karibuni, ameitupia lawama serikali ya Tanzania na chama cha Mapinduzi kwa kuratibu mchakato wa kung'olewa kwake.
Katika hali ya Kushangaza Ndugu Mbatia ameishutumu pia CHADEMA kuhusika na kung'olewa kwake, japo haieleweki chadema imeingiaje, lakini kuna uvumi kwamba Aliyeongoza mapinduzi hayo, anayeitwa Joseph Selasini ni Mwanachama wa Chadema ajabu ni kwamba Joseph Selasini aligombea ubunge Jimbo la Rombo na kupitishwa na Tume ya uchaguzi kwa tiketi ya NCCR MAGEUZI.
Chanzo: Tanzania Daima
My take: USALITI NI LAANA