Mbatia amuuliza murilo: Kwa moyo wako, moral inner ssense hujui wanaoteka?

Inabidi uwe na akili ya mwendawazimu kudhani kwamba jeshi la Polisi halijui kuwa wanaoteka na kuua ni Usalama wa Taifa wakitumia sheria iliyopitishwa na Bunge letu hilihili kuwapa mamlaka hayo. Kuteka na kuua kwa Usalama ni suala ambalo lipo kisheria nchini, na kama serikali hailitaki ingepeleka bungeni kurekebisha sheria iliyowapa TISS mamlaka haya.
 
Namuona IPM pale katulia dah hii ndiyo Tanzania ya leo!
 
Kuna kazi mtu anafanya akiwa na maumivu makubwa sana moyoni,ila mbele za watu anajikaza na kuonesha kama yuko sawa, hasa kwenye kuwaonea watu ambao hawajakukosea lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…