johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Inasemeka KUB Mbowe atamtumbua James Mbatia kutoka kwenye baraza lake la mawaziri vivuli wakati wowote kuanzia sasa.
Nafasi ya Mbatia inaweza kujazwa na mbunge wa Kigoma mjini mh Zitto Kabwe kama ataafikiana na KUB.
Stay tuned,
Maendeleo hayana vyama!
Nafasi ya Mbatia inaweza kujazwa na mbunge wa Kigoma mjini mh Zitto Kabwe kama ataafikiana na KUB.
Stay tuned,
Maendeleo hayana vyama!