johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nadhani utajua baadae kwasasa toa manenoInasemeka KUB Mbowe atamtumbua James Mbatia kutoka kwenye baraza lake la mawaziri vivuli wakati wowote kuanzia sasa.
Nafasi ya Mbatia inaweza kujazwa na mbunge wa Kigoma mjini mh Zitto Kabwe kama ataafikiana na KUB.
Stay tuned,
Maendeleo hayana vyama!
Chadema kakimbiwa hapo!
Ni sahihi kwani NCCR ni Chama Tanzu cha CCM atalipwa kama Mawaziri wa CCMInasemeka KUB Mbowe atamtumbua James Mbatia kutoka kwenye baraza lake la mawaziri vivuli wakati wowote kuanzia sasa.
Nafasi ya Mbatia inaweza kujazwa na mbunge wa Kigoma mjini mh Zitto Kabwe kama ataafikiana na KUB.
Stay tuned,
Maendeleo hayana vyama!
Inasemeka KUB Mbowe atamtumbua James Mbatia kutoka kwenye baraza lake la mawaziri vivuli wakati wowote kuanzia sasa.
Nafasi ya Mbatia inaweza kujazwa na mbunge wa Kigoma mjini mh Zitto Kabwe kama ataafikiana na KUB.
Stay tuned,
Maendeleo hayana vyama!