TENA CHA AJABU MBATIA HATA ANAPOONGEA KWENYE TV ANAONEKANA KAMA MMOJA HIVI!!!!
TOKA ATOKE MASOMONI ULAYA (UHOLANZI) KAJA NA UINGA FULANI KWA VILE ALIKUWA ULYA MASOMONI ANATAKA KUWAAMINISHA WADANGANYIKA KUWA HAKUNA UCHAWI?!!! AU HAKUNA WACHAWI AU WAGANGA KIENYEJI ULAYA?
KUNA MAMBO MEBI YA MSINGI, KUNA KIKUNDI CHA AKINA LOWASSA(GHOROFA ZAIDI YA 100 DAR, RA, CHENGE AND THE LIKES BABA LAO) WANAIMALIZA/WAMEIMALIZA NCHI HII,
KILA KONA YA OFISI YA SERIKALI KILIO KWA SASA HAKUNA HELA HAKUNA HELA MAMBO MENGI NI KAMA YAKO KWENYE DEADLOCK KWA SABABU YA MAFISADI. TUNASIKIA HATA DAWA YA MALARIA YA MSETO(alu) WANASEMA UTAFITI UMEFANYIKA NA KUGUNDUA KUWA ZINA MADHARA MAKUBWA KWA MWANADAMU LAKINI BAADA YA KUGUNDUA WAMEKAA KIMYA YOTE KULINDA MAFISADI HATA KAMA AFYA ZA WATU ZITAHARIBIKA!
MADINI TUNAGAWA BURE!! WANYAMA TUNGA WA buREEE!! NENDA TEMEKE HOSPTALI USHUHUDIE JINSI WATU WAGONJWA WANAYOCHANIA KITANDA! LAKINI HAYA HAYANDIKWI NA WAANDISHI WA HABARI KWA SASABU KWAO HIYO SI HABARI HAKUNA WA KUWAPA FEDHA ILI WAANDIKE, YOTE HII NI MAFISADI TUU!
MBATIA KAMA UNAJIFANYA WEWE NI MSOMI MWANASIASA ASIYE AMINI UCHAWI SHUGHULIKUA MATATATIZO MENGI ILI UNYANYUE MAISHA YA WATANZANIA NA SI KILA SIMU KUONEKANA KWENYE TV KAMA KICHAAA!! UNAINGE PUMBA TUU!!
TENA CHA AJABU HATA DR mvungI NAYE AMEKAA PEMBENI ANASIKILIZA UGOLO WAKO!
KUWA MWNEYEKITI WA CHAMA NDIYO HUTAKI HATA KUANDALIWA CHA KUSEMA DIKITETA MKUBWA!
VYAMA VYA SISA SASA NINAONA NAVYO VINA UFISADI WA KUTURISHA NYUMA,
MAFISADI WAMEZAA MAFISADI HATA WAJUKUU MAFISADI HADI JESHINI KIMYA!!!!!
Kwenye pointi kuwa hakuna wachawi ama waganga wa kienyeji ulaya jibu ni kwamba lazima watakuwepo lakini mambo kama hayo hayapewi nafasi wala kipaumbele kwenye jamii.
The rule of law na either elimu ya science biashara na ama dini ama vyote ndiyo nguzo kuu ya maendeleo ya wenzetu.
Afrika ushirikina ndio namba moja na hilo tusikatae.
Tukirudi kwa upande wa Mbatia kwa kweli amebadilika sana na pia naona keshakuwa mamluki.
Pia naendelea kutoa msisitizo kuhusu somo la Saikolojia.Ni somo litalolikwamuwa taifa na pengine bara zima kama likizingatiwa.
Ni somo litakaloweza kuwafanya watanzania waelewe kuwa si kila kitu ni uchawi.
Ni somo litakalotuwezesha kujitambuwa na kuwatambuwa wenzetu na hivyo kuweza kuwachagua viongozi bora na kujenga jamii bora.
Na pia kuweza kuya overcome mazingira na si kuona kila kitu ni nje ya uwezo wetu.
Kwa yale mambo ambayo ni wazi si ushirikina.
Mfano mdogo na jinsi ambavyo ugunduzi wa HEP ulivyofanyika na manufaa yake sasa.
Kwa Mwafrika...Maji ya namna hiyo yeye atasema yana chunusi na labda wengine hata kuyaabudu maji hayo kama ambavyo wamefanya kwa milima,miti,mizimu nk.
Lakini mtu mwingine akaja akaona haya maji yana nguvu za kuzungusha mashine na tukapata umeme.
Mifano ni mingi tu...Kama hata huyo mtoto Ramadhani mchawi na mama yake.
Ni kweli wanaweza kuwa wachawi lakini ni wazi wana upungufu wa akili na wanahitaji nsaada.
Badala yake vyombo vya habari vimerukia mchawi na mtoto kupigwa mipingu na unyanyasaji.
Sasa ni kweli alikutwa na kichwa cha binadamu...Lakini uchawi weka pembeni...Huyo mtoto na hata huyo mama yake ni wagonjwa wa akili na hata wakipimwa lazima itagundulika hivyo.
Sasa kama Rama na mama yao wanadaiwa kuwa ni wachawi kwanini huyo aliyefanya vituko huko bungeni asiwe mchawi?
Tunajuwa Rama alikutwa na kichwa cha binadamu...Hilo halimfanyi kuwa mchawi peke yake bali hata mgonjwa wa akili na anahitaji mental evaluation....
Maneno yake anayozungumza kama kichaa yanahusishwa na uchawi...Je hayo yanayotokea bungeni ni nini?
Sasa mimi nawaambia hivi ndugu zangu...Viongozi wetu wanaamini uchawi...Tena wengi tu wanaenda kuroga wapate uongozi.
Ushrikina ni mwingi sana huko Bongo...Na hivyo kunifanya mimi binafsi niamini kuwa...HAYO MAMBO YA USHIRIKINA BUNGENI YANALINDWA KWA MTIRIRIKO ULE ULE WA KULINDA HESHIMA YA SERIKALI....Tatizo serikali yenyewe ni ya MAFISADI.