johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Labda lusinde... [emoji3][emoji56]Bungeni unaiaddress kwa nani hiyo barua?!
Weka hapaNasikia Barua nyingine yenye Mwandiko mdogo imeonekana sehemu ukiachana na ile ya Mwandiko mkubwa.
Ngoja niisake lakini Gazeti la Mwananchi liliandika na kuionyeshaweka hapa
Kwa WabungeBungeni unaiaddress kwa nani hiyo barua?!
Mbatia ni Mental caseJames Mbatia amesema kufuatian hukumu ya leo juu ya kujiuzulu Spika Ndugai kinyume cha mutaratinu anaishukuru mahakama kwa maamuzi yake ya kumuonyesha barua ya Ndugai kwenda kwa Katibu wa bunge.
Mbatia amesema hukumu hiyo mimefungua mlango wa yeye kukata rufaa kwani katiba inasema barua itawasilishwa bungeni na siyo kwa Katibu wa bunge.
Source: ITV habari
Hapo imeshapigwa tick tack , so Mama yetu Tanzania akae kwa kutulia. Labda kama anauwezo wa kupima mwandiko kuwa umeandikwa lini. Kwa hili limeisha [emoji16]James Mbatia amesema kufuatian hukumu ya leo juu ya kujiuzulu Spika Ndugai kinyume cha mutaratinu anaishukuru mahakama kwa maamuzi yake ya kumuonyesha barua ya Ndugai kwenda kwa Katibu wa bunge.
Mbatia amesema hukumu hiyo mimefungua mlango wa yeye kukata rufaa kwani katiba inasema barua itawasilishwa bungeni na siyo kwa Katibu wa bunge.
Source: ITV habari
Sasa huko bungeni anawasilisha hiyo barua kwa nani kama siyo kupitia kwa Katibu wa Bunge!James Mbatia amesema kufuatian hukumu ya leo juu ya kujiuzulu Spika Ndugai kinyume cha mutaratinu anaishukuru mahakama kwa maamuzi yake ya kumuonyesha barua ya Ndugai kwenda kwa Katibu wa bunge.
Mbatia amesema hukumu hiyo mimefungua mlango wa yeye kukata rufaa kwani katiba inasema barua itawasilishwa bungeni na siyo kwa Katibu wa bunge.
Source: ITV habari
Jamaa alipinduliwa hakujuuzuru mwenyewe, unachezea usalamaHapo imeshapigwa tick tack , so Mama yetu Tanzania akae kwa kutulia. Labda kama anauwezo wa kupima mwandiko kuwa umeandikwa lini. Kwa hili limeisha [emoji16]