Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Chama cha NCCR Mageuzi kimeingia choo cha kike kwa ahadi ya mbeleko toka CCM. Eti watapata wabunge 15 na kuwa chama kikuu cha upinzani.
Tunatambua Serikali ya CCM itatafuta uhalali wa demokrasia kwa kuwa na wabunge wa upinzani ambao ni CCM B ili dunia iaprove kwamba Tanzania ni nchi ya vyama vingi.
Lakini ukingalia NCCR Mageuzi hali waliyo nayo, kabisa ni sawa na mgonjwa mahututi kujiandaa mbio za km 5 akiwa kitandani.
Jeuri ya Mbatia imepotea kabisa muda huu baada ya kuona hakuna dalili hata mwenyewe kurudi bungeni.
Na huu unaweza kuwa ndio mwisho wa chama hiki na baada ya uchaguzi kitakuwa kama chama cha Cheyo au cha Mrema.
NCCR ni chama kikongwe lakini kinafanya mambo ya kitoto sana.