kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Ni kiongozi pekee wa juu wa Chama cha Siasa asiyeijua CCM.Kapangiwa na Dr Kimei huko Vunjo!
Kwani ni jinsia gani huyu mama Tanzania?Na kule Vunjo wakampelekea Kimei, Sema Mbatia huwa limbunge la viti Maalum wataliteua.
OtherKwani ni jinsia gani huyu mama Tanzania?
Mbatia alienda ikulu akatoka na ahadi ya wabunge 20 akapita mikoa miwili mitatu kuvuna Wanachama wa Chadema na ACT Wazalendo, mara paap Lissu karejea nchini kaaribu mpango mzima.
Waliomtuma Mbatia wakajitafakari wakaona kazi si ndogo na wao tu inawashinda, wakapiga chini Mbatia bila hata pesa ya mafuta ya kampeni. Leo hata kutoka hadharani na mama Tanzania hatoki amebaki ndani.
Wale wanachama aliovuna Mbeya na Mara sijui hata kama wanakumbuka mama Tanzania.
Ukiwa msaliti kubali kusalitiwa, amwone Lipumba alivyoachwa solemba. Kila mtu ashinde mechi yake, ukiwekeza kwa wananchi utavuna kura ila ukiwekeza kwa watawala utavuna kutawaliwa.
...well saidMbatia alienda ikulu akatoka na ahadi ya wabunge 20 akapita mikoa miwili mitatu kuvuna Wanachama wa Chadema na ACT Wazalendo, mara paap Lissu karejea nchini kaaribu mpango mzima.