Mbatia wa Mama Tanzania yupo wapi?

2015 pamoja na nguvu ya UKAWA aliambulia kiti 1 cha ubunge, mwaka huu ndio awe chama kikuu cha upinzani [emoji23][emoji23][emoji23]
Meko alichofanikiwa ni kuua NCCR mageuzi na CUF ya Lipumba Completely, kawaingiza chaka sana.
Meko anakuharibia kotekote chek waunga juhudi waliwahi siti za mbele kwa kudanganywa eti upinzani utakufa,kumbe wanakwenda kufa wao.Kina karanga walihama kwa mkopo leo wanajuuta,mbele wameharibiwa nyuma wameharibiwa.
 
Hivi wale wabunge waliokuwa chadema wakahamia nccr mbona siwasikii
 
Hahaha Mbatia kazoea kuteuliwa, kajituliza huko aliko hana hata muda wa kufanya kampeni Vunjo, anasubiria huruma za ccm.

Kinachonishangaza licha ya uwingi wa maccm yanayosubiria kuteuliwa lakini Mbatia pia hupata nafasi, sijui aliwapa nini ccm?!

Ukawa walikuwa wanatembea na kulala na kunguni nguoni mwao, Mbatia na Lipumba ni hatari kwa vyama vyenye watu makini kama Chadema.
 


 
Mama Tanzania ni mchaga kaona upepo sio wake 60 mln alizopewa advance kafungulia genge pale boma la ng'ombe
Na vunjo ni vita ya watu wanne
 
Hahhaa nae alikuja na jina la mama Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…