BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
...duh, mmeamua kumpa live! kweli tupu hayo uliyosema, 'akimroga' huyo, wengine wataziba pengo, kwa kifupi demu hafai!!!
Suluhisho hapa ni moja tu nalo ni kubakia single. Unapokuwa single unakuwa huna wasiwasi wa mwenzako kumega au kumegwa. Unaweza uka-date lakini usiji-commit kihivyo. Hasa kama unajijua kuwa unapenda kutamani dizaini mbalimbali na huwezi kuyashinda majaribu ya kutamani.
Kwa nini ujiingize katika uhusiano na mtu huku ukijua kwamba unaweza kumuibia upatapo fursa? Sio haki kabisa kwa mwenzako. Ni ngumu sana kwa binadamu kuwa na mtu mmoja kwa muda mrefu bila kutamani mwingine. Binadamu wengi, kwa maoni yangu, wameumbwa hivyo. Kwa hiyo, kwa sababu za maumbile binadamu wengi tunakuwa sio waaminifu katika mahusiano na wapenzi wetu.
Solution is to remain single and date casually. Serious dating/relationships in my opinion set(s) you up for heartbreak and stress somewhere down the road.
Kabisaa, inabidi ajue kwanini mpenzi wake anamegwa maana ni kwa hiari siyo kama kubakwa!..Kwahiyo hapo ni kubwaga manyanga tu na kuangalia usawa wake mbele ila kwa huyo dada presha zitapanda na kushuka tu kila mara!..
Bora akapange chumba kingine, hicho naona kina wapangaji wengi!..Hapakaliki!
ukiwa single unakuwa huna ma stress mengimengi kama 'ooh sikui huyu mwenzangu yuko wapi sasa hivi maana nampigia simu lakini hapokei'...'labda yuko na mtu mwingine sasa hivi'....unakaa unawaza weeeee...moyo na tumbo vinakuuma....kulala huwezi....kula huwezi....kisa eti demu au njemba flani....come on now, yote ya nini hayo?
Fikiria ungekuwa ndo wewe umeteleza ungefanyaje.
Jamani dada wa watu kateleza tu kwa bahati mbaya akatoka nje ya ndoa.
Wewe ungefanyaje Fidel80??!!!
Watu wengine ni madume *****. Mbaya wako unamfahamu, unamwona huyoo anapita. Mi wala simuulizi (ka ni kweli nshajua lakini) nampostia mzigo tena na dispatc book kabsaaa! Kero za nini? kha! Kupenda gani huko. Ebwanae usiendekeze,,, mmwage tu huyo sijui demu, sijui wife tafuta kitu ingine. Ama jamaa yangu uliachiwa razi kuwa ukimwacha tu ole wako! Maana sometime demu wa dizaini hizi wanakuwa na kiburi ile mbaya.
sikilizeni hioo...... Dullonet Tanzania | Sikiliza Hekaheka toka mtaani na CloudsFM
Huyu Dina Marios anaongea kama shankupele fulani, Yo Yo una picha yake?
Alafu ana mashauzi huyo utafiri bonge la kitu kumbe mmmh!
Alafu ana mashauzi huyo utafiri bonge la kitu kumbe mmmh!
Unasema tu! Hayajakufika labda.Yakikufika ndipo utajua its not that easy.
Huyu Dina Marios anaongea kama shankupele fulani, Yo Yo una picha yake?
shindweni wenyewe.....
tehe tehe tehe ila sauti unaionaje kimahaba mahaba......piga picha mko national stadiumOoohh yeah amefanana na sauti yake ka mlevi wa pombe za kiasili iliyolala ...
shindweni wenyewe.....
Fide tupe huo mkao ni mkao wa aina gani?