Wewe unasema ajira milioni moja? Ziko wapi?
View attachment 12734View attachment 12732View attachment 12733
Haya wale waliokuwa wanataka T-Shirt za Mbayuwayu nimejaribu kudesign
hizi hapa kwa rangi mbalimbali, Leteni mchango wenu wa mawazo cha kuongeza
ama kupunguza au kama iko sawa.
Kama mtataka iwe sokoni pia poa, mchango wenu muhimu!!!!
:lol:
Wa Ndima,Hebu tazama tena hizo Sample za T-Shirt nimezifanyia marekebisho muda si mrefu
View attachment 12735View attachment 12736View attachment 12737
Wa Ndima,
Nashukuru kwa kukubali ushauri wa kuweka maneno ya sitaki kura ya wanfanyakazi,
Umedesign vizuri sana, Ingiza sokoni kabla kampeni hazijaisha, maana inalipa. Nimeamini wewe ni mjasiriamali wa kweli.
Mimi ni mjasiriamali, hivyo naelewa namna ya kutumia kero, matatizo kama fursa ya mafanikio.
Fursa huenda na muda yaani time. Usipoteze muda ingiza sokoni.
Tuwasiliane kwa ushauri zaidi maana hii inalipa sana.