Dah huyu mzee alikuwa ticha wetu wa CIVIC, Ni mwalimu pekee pale BENJAMIN alikuwa hafundishi kwa bakora na wanafunzi wakati anafundisha wanajazana mpaka mlangoni wanahama naye darasa alikuwa peace kinoma kwa wanafunzi!! , good storyteller yaani huchoki kumsikiliza, mpaka baadhi ya walimu walikuwa wanamchukia according to him, wanafunzi walikuwa wanafaulu Somo lake kwa kumpenda