GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Sep 21, 2023 #1 Nilisimama kulima nyanya kwa muda mrefu, na sasa nataka kurudi kulima nyanya tena. Naombeni msaada wenu ipi mbegu bora ya nyanya kwa sasa na haipigwi na kinyausi.
Nilisimama kulima nyanya kwa muda mrefu, na sasa nataka kurudi kulima nyanya tena. Naombeni msaada wenu ipi mbegu bora ya nyanya kwa sasa na haipigwi na kinyausi.
Restless Hustler JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 5,150 Reaction score 20,025 Sep 21, 2023 #2 GEBA2013 said: kinyausi Click to expand... Hii Ni Nini
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Sep 21, 2023 Thread starter #3 KINYAUSI ni ugonjwa wa nyanya kunyauka na hatimaye kufa.kwa kitaaluma unaitwa FUSARIUM WILT.Unatesa sana wakulima wa nyanya
KINYAUSI ni ugonjwa wa nyanya kunyauka na hatimaye kufa.kwa kitaaluma unaitwa FUSARIUM WILT.Unatesa sana wakulima wa nyanya