Mbegu bora ya samaki ni ipi na je inapatikana wapi?

Kuna Professor SUA Morogoro anazalisha vifaranga na chakula chenye virutubisho kitaalam, anatoa elimu na anasambaza vifaranga vya samaki nchi nzima

Sina contacts zake ila kama una mtu Morogoro muombe akuunganishe naye
 
Je kuna madhara ya kula samaki wa kufugwa na wale wa asili?

Unajuaje huyu samaki wa kufugwa na huyu wa halisia kama wote wameganda?

Je samaki bucha za Ubungo ni wa asili au wakutengenezwa?
 
Je kuna madhara ya kula samaki wa kufugwa na wale wa asili?

Unajuaje huyu samaki wa kufugwa na huyu wa halisia kama wote wameganda?

Je samaki bucha za Ubungo ni wa asili au wakutengenezwa?
1. Amna madhara yoyote ya kiafya kwa walaji wa samaki wa kufugwa

2. Nivigumu kujua kama samaki uliyenunua kwa ajili ya kitoeo ametoka kwenye mazingira ya asili au ni wakufugwa kwa sababu wanafanana kimuonekano tofauti ni mazingira wnayotokea na aina ya species

3. Sina uhakika na hilo supplier mwenye ndio atakuwa anajua, samaki wa hasili ndio wengi sokoni kwa sababu uzalishaji wa samaki wa kufugwa ni mdogo
 
Watanzania wengi ni wajuaji, hawana utulivu wa kujifunza jambo.
 
Kuna kipindi nilishafuga hao wadudu aina ya sato nikauziwa chakula feki ,kuamka asubuhi nikakuta wamepanda juu ya bwana wote wamekufa.
 
na useme ana miaka mingapi sio kusema kilo moja tu, sema ana miezi sita tukucheke
Mbona una hasira sana wee jamaa? Nenda kwenye maduka yanayouza samaki wabichi uone sato hadi kilo moja na nusu wengine hadi 2
 
Mkuu hao
Mkuu hao Nile tilapia wanakuwa Tyr kuvunwa baada ya muda Gani kama wamelishwa vzr? Bei yake ya kifaranga kimoja ni sh ngapi na wanapatikana wapi?
acha fiksi wewe hakuna sato mwenye kilo moja duniani
Mkuu wewe wawapi? Mimi sio mfugaji ila nimewahi kuvua samaki mganza chato. Kuna hifadhi inaitwa lubondo huko Kuna sato ukimuona ushangae kg2-3 ni kawaida tu. Karibu ubishane mwenyew mkuu.
 
Hajui lolote huyo mkuu kuhusu samaki aina ya sato
 
Muda sio constant inategemea na soko lako linataka samaki wenye ukubwa au uzito gani

Mara nyingi wanakuwa tayari kuvunwa pale tu wanapofisha uzito wa gram 250 na kuendelea. Kama unawalisha vizuri na wanaishi kwenye maji salama unaweza kuanza kuvuna kuanzia miezi 4 hadi 6.

Wateja wengi wanapenda samaki wanaoingia 3 - 4 kwenye kilo moja wastani wa miezi 6 unatosha kabisa kumfikisha samaki kwenye huu uzito

Pia kibishara inashauliwa kuwauza samaki wako mapema ili kupunguza gharama za kuwalisha na kufanya production cycle kuwa fupi ili atleast kwa mwaka uvune mara mbili

Bei ya kifaranga ni Tsh 250
 

Attachments

  • 7818996db8ab425a83f77981c32cc3b0.jpg
    107.1 KB · Views: 8
Ahsantee Kwa maelezo Yako. Naweza pata wapi vifaranga hao nipo geita kijijni Kwa Sasa na nimeanza process ya uchimbaji bwawa nianze na bwa Moja kwanza.
 
Ahsantee Kwa maelezo Yako. Naweza pata wapi vifaranga hao nipo geita kijijni Kwa Sasa na nimeanza process ya uchimbaji bwawa nianze na bwa Moja kwanza.
Karibu sisi tunafuga na kuzalisha vifaranga vya Sato pamoja na kambale

Kwa upande wa Sato specie tunayozalisha ni Nile Tilapia (Oreochromis niloticus) na kuna vifaranga vya aina mbili madume (mono-sex) watu na mchanganyiko (mixed sex) wewe unahitaji aina gani?

Ni vyema kama ukiniambia eneo la bwawa lako ni la ukubwa gani ili nikushauli uchukue idadi gani ya samaki
 
 

Attachments

  • VID-20240516-WA0074.mp4
    4.1 MB
Nile Tilapia
 

Attachments

  • VID-20240516-WA0075.mp4
    11.3 MB
  • IMG-20240516-WA0066.jpg
    225.9 KB · Views: 8
  • IMG-20240516-WA0062.jpg
    412.1 KB · Views: 7
  • IMG-20240516-WA0064.jpg
    397.5 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…