Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Urefu mita26 za marhabaKaribu sisi tunafuga na kuzalisha vifaranga vya Sato pamoja na kambale
Kwa upande wa Sato specie tunayozalisha ni Nile Tilapia (Oreochromis niloticus) na kuna vifaranga vya aina mbili madume (mono-sex) watu na mchanganyiko (mixed sex) wewe unahitaji aina gani?
Ni vyema kama ukiniambia eneo la bwawa lako ni la ukubwa gani ili nikushauli uchukue
Idadi ya samaki inategemea na kiasi cha maji ambacho bwawa linaweza kuhifadhi na uwezo wa mfugaji wa kumaintain water qualityUrw
Urefu mita26 za marhaba
Upana mita12.
Kina MITA 1½
Nile tilapia ndo nawahitaji. Kuna bwawa la asili ambalo ni miaka mingi Hilo sijapima urefu na upana wake lkn nawaza niweke samaki wanao zaliana Kwa ajiri ya kitoweo Cha nyumbani muda wowote natoa mboga.
Kwa ukubwa huo vifaranga wanagapi wanatosha mkuu karibu.
Karibu PM tudiscuss njia rahisi ya vifanga kukufikiaUrw