Mbegu bora za Mbuzi toka AFRIFARMTZ Iringa

Mbegu bora za Mbuzi toka AFRIFARMTZ Iringa

MUBENDE

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2022
Posts
1,111
Reaction score
1,879
Nawasalimuni kwa jina la Mungu naomba niwataarifuni kwa wanao penda kufuga Mbuzi Bora wa kisasa Boer, sasa ASAS iringa wametangaza wanazo mbegu zakutosha wanauza ni Madume tu.

Naomba niweke mawasiliano yao hapa ili muweze kupata maelekezo zaidi na njia ya kuweza kuagiza.
0717 405 073 Frank Mhasibu./ 0654 014 365 Dr Obeid. AFRIFARMTZ. Naomba muwasiliane na hao wahusika.
 
Ungesindikiza uzi na picha pamoja na bei kiongozi.
Ni kweli lakini nimekuwekea mawasiliano yao hapo waweza wapigia wakakupa bei, picha naomba nitaziweka hapo kwa amabao wamesha nunuliwa, walioko bado shambani hawajatuma picha, waweza wapigia watakupa maelezo ya kutosha kabisa na utafaidia zaidi.
 
Kazi nzuri sana,kama ni bidhaa kutoka Asas tutegemee mbegu bora sana.Kwa maono yangu nadhani Asas wapo katika farmers ambao wana breed high quality genetics in tanzania.Hongera kwao Asas na nafasi kwa wakulima kupata mbegu bora.
 
Bei ikoje?
Nimeweka number za wausika naomba wasiliana nao tafadhali maana wana mipangilio yao sasa itakuwa vyema ukiwasiliana nao moja kwa moja.
 
Kwahiyo km mtu hanuki kikwapa anakua sio mtu au?
Ha ha Kamgomoli, mara ya mwisho nimecheki ni kwamba sio Mtu anaeuzwa hapa bana😜, shombo ya mbuzi ni ya mbuzi, na harufu ya mwili wa mtu ni ya mtu. Kwahiyo, hoja yako ndio enye shombo🤣🤣🤣🤣

Nice try bro. Nimecheka kama mbusi meeeeeeee
Hakuna tabu mkuu
 
Nawasalimuni kwa jina la Mungu naomba niwataarifuni kwa wanao penda kufuga Mbuzi Bora wa kisasa Boer, sasa ASAS iringa wametangaza wanazo mbegu zakutosha wanauza ni Madume tu.

Naomba niweke mawasiliano yao hapa ili muweze kupata maelekezo zaidi na njia ya kuweza kuagiza.
0717 405 073 Frank Mhasibu./ 0654 014 365 Dr Obeid. AFRIFARMTZ. Naomba muwasiliane na hao wahusika.
Kwa nini wauze Dume tu? maana yake mtu akapandikize kwenye mbuzi wengine wa kawaida? Hakuna kitu hapo
 
Hata tunapoagiza South Africa au Namibia tunaagiza Madume tunakuja kuwa cross na Mubende tunapata F1 wazuri na inasaidia kuwafaya kila mfugaji anaipata hiyo mbegu hata kama ni F1.
Huku Arusha kuna Mzungu anaingiza mbona yeye anaingiza madume na majike? Ikiwepo mia kondoa wa Doper pie wanaingiza majike na madume
 
Back
Top Bottom