Ni kweli lakini nimekuwekea mawasiliano yao hapo waweza wapigia wakakupa bei, picha naomba nitaziweka hapo kwa amabao wamesha nunuliwa, walioko bado shambani hawajatuma picha, waweza wapigia watakupa maelezo ya kutosha kabisa na utafaidia zaidi.Ungesindikiza uzi na picha pamoja na bei kiongozi.
Wangetoa na majikeSasaa dume bila jikee mkuu uzao utaongezekajeee km mtu anataka kufugaa.🤔
Kwahiyo km mtu hanuki kikwapa anakua sio mtu au?Mbuzi wa GMO nn.
Kama hana shombo sio mbusi tena hio.
Hata tunapoagiza South Africa au Namibia tunaagiza Madume tunakuja kuwa cross na Mubende tunapata F1 wazuri na inasaidia kuwafaya kila mfugaji anaipata hiyo mbegu hata kama ni F1.Sasaa dume bila jikee mkuu uzao utaongezekajeee km mtu anataka kufugaa.🤔
Ha ha Kamgomoli, mara ya mwisho nimecheki ni kwamba sio Mtu anaeuzwa hapa bana😜, shombo ya mbuzi ni ya mbuzi, na harufu ya mwili wa mtu ni ya mtu. Kwahiyo, hoja yako ndio enye shombo🤣🤣🤣🤣Kwahiyo km mtu hanuki kikwapa anakua sio mtu au?
Kwa nini wauze Dume tu? maana yake mtu akapandikize kwenye mbuzi wengine wa kawaida? Hakuna kitu hapoNawasalimuni kwa jina la Mungu naomba niwataarifuni kwa wanao penda kufuga Mbuzi Bora wa kisasa Boer, sasa ASAS iringa wametangaza wanazo mbegu zakutosha wanauza ni Madume tu.
Naomba niweke mawasiliano yao hapa ili muweze kupata maelekezo zaidi na njia ya kuweza kuagiza.
0717 405 073 Frank Mhasibu./ 0654 014 365 Dr Obeid. AFRIFARMTZ. Naomba muwasiliane na hao wahusika.
Huku Arusha kuna Mzungu anaingiza mbona yeye anaingiza madume na majike? Ikiwepo mia kondoa wa Doper pie wanaingiza majike na madumeHata tunapoagiza South Africa au Namibia tunaagiza Madume tunakuja kuwa cross na Mubende tunapata F1 wazuri na inasaidia kuwafaya kila mfugaji anaipata hiyo mbegu hata kama ni F1.