Mbegu bora za ngano

Mbegu bora za ngano

makaptula

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
200
Reaction score
66
Ndugu wana jamvi nlikuwa naomba kwa anayejua mbegu bora za ngano kwa Arusha zinapatikana wapi anijuze na zinauzwa shilingi ngapi kwa kilo.
Ahsanten
 
Back
Top Bottom