Mbegu gani nzuri kwa mahindi ya kuchoma

Mbegu gani nzuri kwa mahindi ya kuchoma

GM98

Member
Joined
Dec 9, 2022
Posts
21
Reaction score
12
Habari wakuu naomba kuuliza, hivi ni mbegu gani ya mahindi ni nzuri kwa mahindi ya kuchoma ukiachana na pioneer maana haipatikani madukani sahivi mimi nipo Mkuranga
 
Back
Top Bottom