GM98 Member Joined Dec 9, 2022 Posts 21 Reaction score 12 Aug 16, 2023 #1 Habari wakuu naomba kuuliza, hivi ni mbegu gani ya mahindi ni nzuri kwa mahindi ya kuchoma ukiachana na pioneer maana haipatikani madukani sahivi mimi nipo Mkuranga
Habari wakuu naomba kuuliza, hivi ni mbegu gani ya mahindi ni nzuri kwa mahindi ya kuchoma ukiachana na pioneer maana haipatikani madukani sahivi mimi nipo Mkuranga
Mtani wa Taifa JF-Expert Member Joined Aug 2, 2023 Posts 953 Reaction score 3,318 Aug 16, 2023 #2 Tumia stuka
GM98 Member Joined Dec 9, 2022 Posts 21 Reaction score 12 Aug 16, 2023 Thread starter #3 Alishani said: Tumia stuka Click to expand... inakubali ukanda huu wa pwani?