Mbegu ipi ya mahindi inastawi vizuri huku Singida

Mbegu ipi ya mahindi inastawi vizuri huku Singida

Somo hili hapa

 
hiii apa
 

Attachments

  • 35504B99-BCEA-4CF4-BB5C-68F95D4C90B9.jpeg
    35504B99-BCEA-4CF4-BB5C-68F95D4C90B9.jpeg
    1.3 MB · Views: 18
Kuna DK 8031 hii inataka mvua sio zaidi ya miezi kitatu lkn DK 8033 hii inakomaa kwa muda mrefu ivyo inahitaji mvua kuanzia miezi Minne na kuendelea

Pia msimu wa 2023/2034 kutokana na mamlaka ya hali ya hewa mvua itaanza wiki ya tatu mwezi wa kumi na moja na kuisha wiki ya tatu mwezi wa nne pia zitakuwa juu ya wastani

Mimi ningekushauri utumie DK 8033 kutokana na sababu hapo juu

Asante
 
Back
Top Bottom