Mbegu ipi ya nyanya inafaa kupanda kipindi hiki cha mwezi wa 9?

Mbegu ipi ya nyanya inafaa kupanda kipindi hiki cha mwezi wa 9?

GM98

Member
Joined
Dec 9, 2022
Posts
21
Reaction score
12
Habari ndugu,

Naomba msaada kujua ni mbegu ipi ya nyanya inafaa kupanda kipindi hiki cha miez ya 9 mpaka 12? Nipo Mkuranga.
 
Write your reply...IMARA inatabia ya kushambuliwa na ugonjwa wa kinyaus
 
Namba 1 ni Ansal F1 kwa pwani inafanya vizuri ila ina bei kidogo
Au ekon F1 na, zaraF1 nazo zinafaa
 
Mimi nipo mkuranga pia ni bwana shamba nalima nyanya msimu huu msimu mzuli ndio huu kuanzia mwezi wa 12 mpka wa 5 bei inakuwa nzuri ukitaji mbegu niambi nina mbegu za masika na kiangazi zote ni F1 gramha rz na jarrah rz nitakusimamia na kukufundisha ukitaji huduma zang karibu 0620345862
 
Back
Top Bottom