D DENAMWE JF-Expert Member Joined Dec 29, 2019 Posts 862 Reaction score 871 Aug 17, 2023 #1 Nataka kupanda mahindi kwenye wilaya za Karagwe na Ngara. Naomba kushauriwa mbegu bora inayofaa katika wilaya hizi.
Nataka kupanda mahindi kwenye wilaya za Karagwe na Ngara. Naomba kushauriwa mbegu bora inayofaa katika wilaya hizi.
Nick Furry Senior Member Joined Sep 23, 2016 Posts 180 Reaction score 180 Aug 18, 2023 #2 Kwa karagwe Lima Simba SEEDCO, DK 90-89 au DK 777
D DENAMWE JF-Expert Member Joined Dec 29, 2019 Posts 862 Reaction score 871 Aug 18, 2023 Thread starter #3 Nick Furry said: Kwa karagwe Lima Simba SEEDCO, DK 90-89 au DK 777 Click to expand... Asante sana. Kati ya hizo ipi bora zaidi.
Nick Furry said: Kwa karagwe Lima Simba SEEDCO, DK 90-89 au DK 777 Click to expand... Asante sana. Kati ya hizo ipi bora zaidi.
Nick Furry Senior Member Joined Sep 23, 2016 Posts 180 Reaction score 180 Aug 18, 2023 #4 DK 777...kama mvua zitawahi na kuwa consistent