Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Wamegoma kuja aiseeWajuzi wa mambo haya muje.
Wakuu poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Naomba kuuliza kwa wajuzi wa mambo... Nina shamba langu maeneo ya kisarawe mkoa wa pwani nimejipanga mwaka huu nilime muhogo.
Naomba kuuliza yafuatayo
1. Ni mbegu gani nzuri ambayo ninaweza kuvuna si zaidi ya miezi sita na naweza kuipata wapi?
2. Ni wakati gani mzuri wa kupanda ili niendane na msimu wa mvua?
Nawasilisha
Mkuu mimi nipo Pwani wilaya ya Kisarawe vipi mbegu hiyo inaweza kukubali?uko maeneo gani kaka?? kama uko kanda ya kati nakushauri ulime mbegu inaitwa MUMBA ni nzuri sana na mavuno yake hata kiroba haigusi kabisaaa. katika picha hizi hapo chini huu muhogo hapo ulikuwa na miez mitano na wiki mbili tu tangu upandwe. karibu sana kwa ushauri wa masoko na mbegu za mihogo. sana sana kanda ya kati.
Mkuu PM haujibuMi nimepanda mbegu inaitwa rasta huko na imemea vizuri sana na sasa navuna.. ila nataka kujaribu na hiyo kiroba maana naona inasifiwa na inastahimili magonjwa!!..upo maeneo gani mkuu huko kisarawe!.. kuhusu kupanda unaweza kusubiri zile mvua za masika kuanzia january february... japa hata hizi za vuli za mwezi wa kumi nazo unaweza kupanda
Mkuu nimekuchek PM lakini naona kimyaKiroba ni mbegu nzuri sana, na msimu mzuri wa kulima ni kipindi cha Kati ya mwezi wa kumi (mvua za vuli) au mwezi wa kwanza, ukihiitaji mbegu nichek
Mkuu nimekuja PM huko, naomba msaada wakongoja nikutumie hii mbegu mkuu yaani utaikubalimwenyewe.
Mkiu naipayaje hiyo?Mbegu nzuri ni Mfaransa, soko lake liko juu muda wote mwaka mzima
Mkiu naipayaje hiyo?
Ahsante sana kwa usauri mkuuKama una nafasi nenda ofisi za idara ya kilimo Kibaha mjini, hii mbegu niliiona kwa wakulima wa mkoa wa Pwani . Fanya hivo, muhogo wake ni muhogo mtamu ambao una matumizi mengi kuanzia vitafunwa vya chai, Futari, wakaangaji n.k
Mkuu napatikana mkoa mpya wa songwe nahitaji mbegu ya mihogoMkuu nimekuchek PM lakini naona kimya
0759283199 Mimi naitaji bengu ya miogo naomba nope jibu kuptia namba hitoKiroba ni mbegu nzuri sana, na msimu mzuri wa kulima ni kipindi cha Kati ya mwezi wa kumi (mvua za vuli) au mwezi wa kwanza, ukihiitaji mbegu nichek
0759283199 Mimi naitaji bengu ya miogo naomba nope jibu kuptia namba hito