Salam wakuu!
Nahitaji mbegu ya ALIZET aina ya KENYA FEZA nackia inapatikana ARUSHA kwenye KAMPUNI 1 inaitwa KIBO alienambia hana uhakika na Jina la hiyo KAMPUNI ndo7bu nimekuja hapa kwenu kwa anaeijua vzr hiyo KAMPUNI au KAMPUNI yyt wanaouza hiyo MBEGU nipate masiliano yao Natanguliza SHUKRANI zangu za dhati!!!