GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Uko sahihi1Ninataka mbegu na siyo miche.
Inakera sana! Nifanyeje mkuu?Uko sahihi1
View attachment 2813394
The flowers and fruits of male, female, and hermaphrodite papaya. (A) Female flowers; (B) hermaphrodite flowers; (C) male flowers; (D) female fruit; (E) hermaphrodite fruit; (F) male tree.
Waulize SUA, tafuta contacts zao kutoka kwenye website yao.Inakera sana! Nifanyeje mkuu?
Nilijua kuwa baada ya miezi sita, ningekuwa na mipapai mingi mpaka ya kugawa kwa "msjirani", matokeo yake yamekuwa kinyume chake!
Nifanyeje? Inawezekana kuibadilisha iwe mijike? Ni wapi naweza kupata mbegu ambayo ni ya mijike pekee?
Shukran sana mkuu๐Waulize SUA, tafuta contacts zao kutoka kwenye website yao.
Shukran sana mkuu๐
Ngoja nijaribu
Nashukuru sana mkuu๐๐๐
Carina papaya seedlings
Miche yake inapatikana kwa bei ya shilingi 2500
Call:0767019731
@Agronomist Shine SUA MOROGORO
JARIBU HIYO NAMBA ANAWEZA AKAKUPA DIRECTION........request seeds
๐๐๐Mbegu zimejaa tele maduka ya bidhaa za kilimo
Tatizo ni kujua kuziotesha na muda wa kusubiria ziote kwani zinachukua kwenye wiki mbili kuota na hadi zifae kuhamishia shamba ni mwezi na zaidi au niseme jumla ya miezi miwili hivi